Natural girls live interview on DJ sepetu show!!

Babe hamna shida sio kama nalalamika, ni sikupata time muda ule wakati anajibu maswali...ndio maana nauliza kama vipi niulize

BTW hii ndio ile ya kiingereza au ile ya beth??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Hii comment ni ya kule sijui kwanini imekuja huku, huku ipo nyingine mbona
 
Anhaa hapa sawa...Stress za kuchelewa kuuliza swali hizi tu

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Ahahahaaaaaa pole sana, ila muosha rungu leo ametuweza wapenda ubuyu maana sio kwa kingreza kile looh nimepakata dictionary mpaka mapaja yameuma amejua kunitesa sana kwasababu ilikuwa ni zoezi la kufungua kamusi na kufunga [emoji23][emoji23][emoji23]
 
very sorry babe..kule hata mimi sikukanyaga saana nimeibuka usiku huu kuuliza maswali ila nakuta ni ngeli tu [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
very sorry babe..kule hata mimi sikukanyaga saana nimeibuka usiku huu kuuliza maswali ila nakuta ni ngeli tu [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikristo ni kigumu sana jamani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikristo ni kigumu sana jamani
977307cd4d8dd1dd3cda3aead73364ae.jpg

Back
Top Bottom