DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Shikamooni wakubwa
Mambo zenu
Saa za jioni kuanzia sasa na saa kumi na moja tunawajulisha kuwa
Tutakuwa na Mrembo hapo juu katika show baraza yetu Leo!
Kukumbusha tu lengo hasa la baraza hii ni kutoa elimu burudani
Kupunguza uchovu na stress za maisha!!
Ikiwa kwa namna yoyote mtu ataona baraza au gumzo halimfai anaweza tu akaenda majukwaa au nyuzi zingine!.maisha ni sinia chagua utakacho!
Bonjour!!!
DJ sepetu