Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Nipo dada ila mwenzenu mihangaiko miingi na nawahi kulala pia hivyo unakuta muda nikiamka nishapitwa page zaidi ya 10 hivi hivyo unakuta nashindwa kwenda na nyie sambamba.Mana nakuona kwa mbali sana ujue dada akee
Ondoa shaka nipo nduguyo.