Ulikuwa uamuzi wa busara leo hii tunapolalamika suala la Umeme. Hiyo miti ilikatwa na bado mvua imeendelea kunyesha. Kuna mambo yalikuwa kisiasa zaidi kuliko uhalisia.Bado hatujajua maana..! Tulikata miti milion 2 ili tujenge bwawa la kufua umeme wa maji.. Imagine miti 2,000,000