Nature preserved! Only for nature lovers

Nature preserved! Only for nature lovers

FB_IMG_1709595750525.jpg
 
Bado hatujajua maana..! Tulikata miti milion 2 ili tujenge bwawa la kufua umeme wa maji.. Imagine miti 2,000,000
Ulikuwa uamuzi wa busara leo hii tunapolalamika suala la Umeme. Hiyo miti ilikatwa na bado mvua imeendelea kunyesha. Kuna mambo yalikuwa kisiasa zaidi kuliko uhalisia.
 
Back
Top Bottom