Nature preserved! Only for nature lovers

Nature preserved! Only for nature lovers

1737043463215.jpg
 
9. LAKE NATRON, TANZANIA

Ziwa Natron huko Tanzania ni ziwa linaloonekana zuri kwa sababu kinakaribia kuwa rangi ya pinki na ni nyumbani kwa flamingo wenye rangi ya pinki inayofanana nao,

Mbali na uzuri wa muonekano wa ziwa Natron lakini watu hawaruhusiwi kuogelea katika Ziwa Natron kwa sababu ya viwango vikubwa vya alkaline inayofika mpaka pH ya 10.5 ambacho ni sawa na ammonia. Kuweka kirahisi ni kwamba ukiogelea kwenye
Ziwa Natron basi maji yake yatachoma ngozi ya wanadamu na wanyama wengi.
1737054277716.jpg
 
Back
Top Bottom