Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, hapa muda wote ni kuangalia hali ya hewa
Hali ikizidi kuwa hivi , wajukuu wetu wataishi kwa tabu. Tujifunze kutunza mazingira tupande miti kwa ajili ya vizazi vijavyo[emoji991]Pichani ni mikoko yenye afya katika eneo linalosimamiwa Bagamoyo, na isiyo na afya katika kijiji cha Mdimni, Mkuranga nchini #Tanzania. Mikoko hii imeathiriwa na shughuli za wanadamu na mabadiliko ya tabianchi, na kusogea kwa maji ya bahari.
Leo Jumanne ni Siku ya Mikoko Duniani.
Je, unajua kuwa hekta moja ya mikoko ina uwezo wa kuhifadhi tani 3,754 za kaboni, sawa na kaboni inayotoka kwenye magari 2,650 kwa mwaka?
Fahamu faida zingine za mikoko na jinsi ya kuzitunza na unesco. International Day for the Conservation of the Mangrove Ecosystem I #MangroveDay
Picha: Fredy Anthony NjejeView attachment 2304206View attachment 2304207