Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Athari za kukata miti ni long terms huwezi kuona kkwa muda huo huo, Al gore miaka ya 2000 aliwahi kuongea kuwa baada ya miaka 30 kungekuwa hakuna barafu kwenye mlima kilimanjaro, l hata miaka 20 haikupita barafu haipo pale juu.Kwani matumizi ya mkaa, mbao, kuni na kilimo kila siku zinateketea hekta ngapi za miti? Kama umeshafika hapo kwenye Bwawa hakuna athari kubwa kama wanasiasa na wanaharakati walivyokuwa wanatishia, tunakata miti kila kukicha na hatulalamiki
Miti iliyokatwa kupisha ujenzi wa bwawa ilikuwa kwenye concetration , madhara yake ni makubwa kuliko miti ya mkaa amabayo inakatwa sehemu tofauti tofauti.[emoji419][emoji375]Athari za kukata miti ni long terms huwezi kuona kkwa muda huo huo, Al gore miaka ya 2000 aliwahi kuongea kuwa baada ya miaka 30 kungekuwa hakuna barafu kwenye mlima kilimanjaro, l hata miaka 20 haikupita barafu haipo pale juu.
Miti iliyokatwa kupisha ujenzi wa bwawa ilikuwa kwenye concetration , madhara yake ni makubwa kuliko miti ya mkaa amabayo inakatwa sehemu tofauti tofauti.
Kilwa kisiwani, nitarudi.