nature ya K.G.G.dana ilikuwa ni ipi?

nature ya K.G.G.dana ilikuwa ni ipi?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
*Nimekuwa najiuliza ikiambatana na kautafiti kidogo kwamba nature ya mamalia wote kitu kinachovuta madume kuwafuata majike ni raha ambazo madume huzipata wakati wa kuingilia majike, hivyo kupelekea tendo hilo kuwa continuosly kwa viumbe jamii yote ulimwenguni,asume kama tendo hilo lingekuwa la uchungu ingelikuwaje dunia yetu leo hii?

**Turudi upande wa super/advanced creature(human), facts zote zinafanana na wanyama isipokuwa amekwenda mbele zaidi ktk kujaribu kumtafiti mwenza wake wa "kike", ili naye aweze kupata raha ambazo mume huzipata ili kuweza kubalansi zaha na starehe za tendo hili.

***Kwa upande wa mamalia walio wengi tendo hili huwa ni la mbinde na mikiki mikiki sana kwa majike,paka, mbwa nk,""je mamalia wengine wa kike nao huwa na hali ya matamanio kupandwa hadi kutoshelezwa au mambo ya kutoshelezana ni ubunifu wetu wa kibinadamu na ipo out of the naturality series?""
 
sasa hao wanyama ndo huwa wanapata kile wanachokihitaji kwa wakati.wao mpaka jike awe kwenye heat ndo dume anapata tamaa yakumuingilia bila hivyo huwezi kukuta ng'ombe ama nguruwe anapandwa kila siku...zile kukurukakara ndo ignitors of emotions ila wale huwa wanapandana kipindi ambacho wote wawili wanatamaniana
 
Kazi ipo, ila kwa nyuki upande wa wadudu hawa - hali inakuwa tofauti kidgo, inapofikia kuna hamu ya kufanya, dume akishamgegeda jike "Malkia" linakufa....hiyo ni nature ya nyuki
 
Wanyama karibu wote wanafanya for reproduction tu,ni wachache sana ambao hufanya for pleasure pia,mfano sokwe na dolphin
 
Wanyama karibu wote wanafanya for reproduction tu,ni wachache sana ambao hufanya for pleasure pia,mfano sokwe na dolphin

mi mtu akisema huwa hawafanyi kwa pleasure nakataa.huwa inafika hatua majike mpaka wanavunja mabanda kisa naniliu.hapo utamu upo rejeo kama umewahi fuga nguruwe
 
Back
Top Bottom