Thanx mkuu, niliomba uT.A kemiamkubwa kikubwa wewe jiandae tu fresh bt wanabase sana kwenye essecially common basic knowledge based kwenye ishu gani uliomba...
best of ur luck kaka!!!
Wee jinoe kila kona, achana na issue za kuegesha kwanza wanaweza twist kimtindo based on your cv..!
Habari wana JF
Nilituma maombi ya kazi pale UDOM nafasi ya taaluma katika college ya Mathematics & Natural Sciences, ninafikiri nitaitwa kwenye interview labda kama barua yangu haikufika mahala husika. Naomba msaada wenu kwa wale waliokwisha fanya interview za tutorial assistants ama assistant lecturer katika college zingine aina ya maswali kama ni ya kiacademic zaidi nirudi kwenye nondo za darasani ama yamekaakaaje?? sitaki nije niwe na kisingizio cha kutemwa maandalizi niyaanze mapema coz kuna mambo yalishachomoka kichwani hii ni vita kali sana msaada wenu tafadhali.
Thanks mkuu ila vipi kwa ma-ssistant lecturers pia ni the same as TA's in mode of interview???Kwa maTA maswali mengi yanakua yamebase kwenye kada uliyoomba, napia maswali machache yakawaida yaliyozoeleka kwenye interview mbalimbali... na wingi wa maswali unategemea namna utakavyokua unajibu.. Ila inabidi ujiandae vizuri katika kada uliyoomba... Na sio written inakua ni oral, panel ina watu kama 6 mpaka nane, ila sijajua college hiyo watakua wangapi