Habari wana JF
Nilituma maombi ya kazi pale UDOM nafasi ya taaluma katika college ya Mathematics & Natural Sciences, ninafikiri nitaitwa kwenye interview labda kama barua yangu haikufika mahala husika. Naomba msaada wenu kwa wale waliokwisha fanya interview za tutorial assistants ama assistant lecturer katika college zingine aina ya maswali kama ni ya kiacademic zaidi nirudi kwenye nondo za darasani ama yamekaakaaje?? sitaki nije niwe na kisingizio cha kutemwa maandalizi niyaanze mapema coz kuna mambo yalishachomoka kichwani hii ni vita kali sana msaada wenu tafadhali.