Nauachaje huu mchepuko?

Nauachaje huu mchepuko?

Wewe nipumbavu and be a

Acha upumbavu wewe kosa LA huyo mwanamke nini kukupenda ? Be a man kama humpendi acha tamaa mpe haki yake na unekiri mmetafuta wote mpaka akachukua mikopo kwa ajili yenu acha wizi mpe anachostahili kwa kua ni jasho lake then Rudi kwa mkeo .Nyinyi ndio sometimes mnafanya wanaume tuonakane shwaini kwa mambo kama haya
umegonga kwenye msumari.
 
Wewe ndio unafanya wanawake wanatuita mbwa. Kuna muda tunawalaumu wanawake ila wewe sisi ni miyeyusho sana.

Acha dhulma ndugu utaishia pabaya koko wewe.
 
Mimi ni Baba wa watoto watatu, nimeoa ndoa yenye miaka 12 sasa. Kuna sehemu niko nafanya kazi mke wangu naye ni mfanyakazi na ni ngumu kuhama basi tunahisi tofauti.

Hapa ofisini kuna dada nimeanza naye mahusiano ni mwaka 4 sasa, ni kama nimehamia kwake nilipokuwa nimepanga mimi naweza kukaa hata miezi 6 siendi huko, kila mtu anafahamu kuwa huyu ni mke wangu hata ofisini kila kitu tunafanya pamoja wanajua nishaachana na mke wangu.

Wakati nakutana naye nilimuambia kuwa nimeoa na kipindi hicho mke wangu alikua anakuja huku bila shida ila baadaye nilimkataza kwakua ndiyo mimi naenda tu.

Kashanitambulisha kwao na mimi kwetu kuna baadhi ya ndugu wanamfahamu. Anaamini nitamuoa na kweli kuna kipindi mimi na mke wangu mahusiano yaliyumba tukaenda mpaka mahakamani kufuatilia talaka lakini mke aligoma hivyo niliacha mambo ya kufuatilia.

Sababu ya kuja kwako ni hivi, nimemchoka huyu dada na kweli sasa hivi nataka kurudi kwenye ndoa yangu. Naona kama nampotezea mdua ana miaka 33 hana mahusiano mengine ni kama anasubiria mimi kauchana na mke wangu, naona ashaanza kisirani ananichunga kama mke kitu amabcho sitaki!

Shida inakuja kwamba kuna vitu vingi vya maendeleo nimefanya naye, tumejenga nyumba mbili, tuna gari na biashara ambayo kila kitu kina majina yangu lakini yeye alichangia kwani alichukua mpaka mikopo akiamini mimi ni mume wake kwakua tu sina mawasiliano mazuri na mke wangu.

Hofu yangu ni kwamba nikitaka kumuacha atadai mali kitu ambacho siko tayari kumpa. Kuna watu wananishauri kubadilisha hizi mali kuandika majina ya wanangu, nauliza je ana haki yoyote.

Mimi nayeye hatuna mtoto nimekua makini sana kuhakikisha simpi mimba ila yeye ana mtoto alizaa na mwanaume mwingine na tunaishi naye, nimechoka nataka kurudi kwenye familia yangu, je namuondoaje huyu Bibie bila kumpa chochote.

Nimejaribu kuhangaika ili ahamishwe mkoa lakini imekua ngumu, kila nikihangaika anabana. Kwakweli nimechoka haya maisha ya kuishi na mchepuko, nataka kwenda kumchukua mke wangu tuishi pamoja kwani huu umbali mke wangu naye asije kuchepuka, nisaidie nafanya nini?
Uombe Mungu nisimjue. Nitampeleka kwa babu yangu utajuta maisha yalo yote
 
Uzinzi haujawahi kumuacha mtu salama
 
Na tutanyweshwa sumu sana kwa akili hizi.
 
kwa hiyo una uhakika mkeo huko aliko hachepuki? Ye anaishije? We ungeweza? Mbwage huyo mchepuko na mkeo akubwage
 
UNACHEKESHA.......
Kwa sisi wanaume kuoa zaidi ya mke mmoja ni suala la maamuzi.
Wazee wetu walifanya hivyo na maisha yanasonga.
Mie nina wake wawili....mmoja wa biashara...mwingine wa kilimo... 👍
 
Back
Top Bottom