politics observer
JF-Expert Member
- Jun 18, 2024
- 385
- 299
Chawa akikosa hoja utamjua tuu…Kakijana haka kame zowea kulelewa tu. Halafu kanajiita incredible mimi kumbe takataka tu kutoka kambi za wakimbizi
Sasa hapa ndo umejibu nn?Duh!
Wewe ni mgeni hapa?
Hebu ngoja...., Aaahaaa, April 2024!
Kumbe sikukosea kabisa. Wewe unahangaishwa na hali yako mpya; huna la zaidi ya hapo.
Basi tueleze, wewe (baba yako) katokea wapi. Kwa nini usifunge tu virago na kurudi huko kwa mababu. Hakuna atakaye kuzuia kuja hapa kusafisha kaburi la baba yako.
Unajitesa hivi mwenyewe, unataka sisi tukufanyie nini?
Unataka usikie na sisi tukijitoa akili, kwamba hatuipendi nchi yetu?
Wewe ni mdogo sana kumtisha yeyote hapa. Nenda kajifunze kunyoa mavuzi kwanza kwa mara ya kwanza.
Hovyo kabisa.
HahahahaNchi tamu sana hii piga kazi
Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake😎Umefurahi sn kijana kula ban sio? 😁
Kiasili Tanzania ni nchi nzuri tu, hili hakuna ubishi hata kidogo. Tatizo kubwa lililopo ni kwamba Kuna Utawala mbaya sana kwenye hii nchi, na tatizo hili lipo karibia kwenye nchi zote kabisa zilizopo katika Bara la Afrika. Almost Nchi zote za Afrika zinakabiliwa na tatizo la kuwepo kwa Tawala mbaya, na kuligeuza bara hili kuwa siyo mahali pazuri na salama pa kuishi hapa duniani.Sababu ni moja tu iliyonivuta hapa. Kichwa cha mada. Nilipoona gazeti chini yake, nikaona nije huku mwisho kunyanyua hicho kipande kidogo.
Sasa utanisamehe kwa maoni yangu haya.
Unaweza kuwachukia viongozi wote wanaokufanya ujisikie ulivyo; lakini hata mara moja, Tanzania kama nchi haijawahi kukufanya ujihisi unavyojihisi mwenyewe.
Kwa hiyo hapa unatueleza uongo (sijui umeeleza nini huko ndani).
Lakini, si ni rahisi tu kwenda popote upendako, kwani kuna anayekulazimisha ubaki hapa.
Ukweli ni kuwa upo hapa, kwa sababu unapapenda sana.
Nilikula mkeka ndugu yangu bt now am back in business 👨💼Wape spana madogo hao,
Wanasubiri baba afe warithi
upeo wake n mdogo sn, tena sn tuu…Sasa hapa ndo umejibu nn?
Mbona kama umeishiwa hoja mdogo wangu?
Nani katishwa hapa? Au nivibaya mtu kutoa opinion yake?
Yan ww kwa akili hizo mgando utaendelea kukimbiza mwenge mwaka wa kumi ss..
Ata mtendaji wa kijiji hulambi 🤣🤣🤣
aisee, ss wote Tuwe wezi?Tuibe ,do illegals with a settled mind utaenjoy sana.
Tanzania haiwezi haitokuja kufanya watu wa enjoy, till 45 years to come, saiv iba. Shukuru Mungu umeamka na unatembea, kwa umri wako iba. Popote loose chapa. Usilale ndani, don't be so much fair
Vijana n lazima kuamka na kusema stop ✋ imetosha…Kiasili Tanzania ni nchi nzuri tu, hili hakuna ubishi hata kidogo. Tatizo kubwa lililopo ni kwamba Kuna Utawala mbaya sana kwenye hii nchi, na tatizo hili lipo karibia kwenye nchi zote kabisa zilizopo katika Bara la Afrika. Almost Nchi zote za Afrika zinakabiliwa na tatizo la kuwepo kwa Tawala mbaya, na kuligeuza bara hili kuwa siyo mahali pazuri na salama pa kuishi hapa duniani.
Upo level gani ya umri kuuliza kuiba. Kuiba sio kukaba. Kuiba ni do with no limits usichoke mbona nimeelezaUpo sahii sasa nini kifanyike kwa mtazamo wako…
Au paendelee kuwa sio mahali salama kwa ustawi wa watu wa taifa let’
aisee, ss wote Tuwe wezi?
Tunaiba nn raslimali y taifa au tunawaibia waliokwisha iba?
🤣🙌🏽Hao mchwa ndo sitaki hata kuwasikia
🤣 umeona uliweke wazi hilo. Wasije ku quote vibayawala siwezi kuwa mzalendo kwenye taifa lisilo jiongoza kisheria kama hili..
🤣🤣Njoo uchukue kabla cjautupa 😊
Nimerudi kaka wala siogop bann perhaps hata hawa jfm siwaamini.. 🤣🤣🙌🏽Na ban umepata duh. Hasira za kujichukia ndio zinazidi😎😎
Kija hajielewi huyo, anajibu kwa mihemko tuuKumbe hata wewe hufurahishwi na namna mambo yanavyoenda mkuu? Sasa mbona ukamkndia kwa kumwambia aondoke awaachie nyie wazalendo nchi yenu.
Mkuu sina makasiriko, ila ukikosa logic lazima tujiulize kwa nini wewe kwa upuuzi huu unaona ni sawa, seems upo katikati ya uovu au mnufaika indirectly. Sina nia mbaya.
Labda km nimevuka minyauHahaha….
Hapo kavuka mipaka eeh?
Sasa endelea kuuchukia utanzania wako, ikiwezekana jinyonge kabisa😎😎😁😁Nimerudi kaka wala siogop bann perhaps hata hawa jfm siwaamini.. 🤣🤣🙌🏽
Nilipokujibu mwanzo nilikueleza kwamba sikuweza kusoma ulicho andika chini ya hicho kichwa cha mada yako; na nikaikataa, naendelea kuikata hoja mbovu ya namna hiyo.Umeongea vzur sn na kwanamna moja umejaribu kuwa mzalendo kwa nafasi yako..
But trust me, huwez kuwa proud n hii nchi ukitoka kwenda ng’ambo, bado tunamambo Meusi sn..
Nchi y democratic zen inakiti kimoja cha upinzani.
Nchi inayoongozwa kwa mujibu wa sheria hususan bunge na linawabunge wasio na chama chochote. (Covid 19)
Nchi isiyoheshimu katiba, kiongoz mkuu wa nchi anajipangia muda wa kuongoza nchi..
Now wanasema kuingia kwny uchaguz n kupoteza pesa… ila safari zisizo n kichwa wala miguu n kusave pesa?
Wamevimbilwa kwa wizi na urafi, miradi mikubwa inaelekezwa Kwny investment zao, na hakuna tenda shindani zinazofwata utaratibu wa ushindani.
Nasema kwa akili zangu timamu. Sijivunii kuwa mtanzania I hate his country to the maximum.
Kunawatu wanaweza dhan labda maisha yamenipiga or otherwise bt I am living a very standard life na Nina ustawi bt hii haibadilish chochote kwny fikra zangu za kuichukia hii nchi..
Mfumo umeoza na unanuka. Na ubani hakuna
Kama una uhakika na hili hapa, utakuwa na sababu zako nyingine, tofauti kabisa. Hayo maelezo uliyoweka hapo hayahusiani kabisa na kutoipenda Tanzania.Nasema kwa akili zangu timamu. Sijivunii kuwa mtanzania I hate his country to the maximum.
Kijana la lumumba hili linatimiza majukumu yake kujihakikishia unga wa ugali kutoka mbogamboga political part..Sasa endelea kuuchukia utanzania wako, ikiwezekana jinyonge kabisa😎😎😁😁
Level ya umri tena? AiseeeUpo level gani ya umri kuuliza kuiba. Kuiba sio kukaba. Kuiba ni do with no limits usichoke mbona nimeeleza