Nauchukia Utanzania wangu

Inawezekanaje hakuna anachochangia wakati analipa tozo na kodi zote za manunuzi bado ya ardhi na majengo mkuu nia aibu mwanaume kuogopa kusema ukweli ona aibu kula kisicho halali...ona aibuuu mkuu
Anakula kwa dada yake aliyeolewa. Anaishi kwa hisani ya shemeji yake
 
Wanahofia wizi wao kujulikana,

Serikali tatu zitaondoa pazia jeusi, maovu na wizi wote utakuwa dhahiri.
 
HUJITAMBUI.
 
Inawezekanaje hakuna anachochangia wakati analipa tozo na kodi zote za manunuzi bado ya ardhi na majengo mkuu nia aibu mwanaume kuogopa kusema ukweli ona aibu kula kisicho halali...ona aibuuu mkuu
Km mmetumana huko kuvuruga huu uzi naomba mpite hivi..

Chawa wa kijani huwa mnadhani hakuna mwenye haki ya kutoa uhuru binafsi wa maoni hasa yale yawagusayo

Huu n uzi wa wanaume lijali wanaotazamia kesho yao waitakayo..

Kunauzi wa watu wa upinde huko twitter muende kule
 
Ninakuelewa sana. Usidhani sielewi kinachokusumbua.

Nimekueleza kwa kifupi hapo juu; Tanzania kama nchi, haina tatizo lolote lile, lakini wewe una kazania kuifanya Tanzania iwe ya hao viongozi wabovu, ambao sote tunawachukia.
Hivi huwezi kuona tofauti?

Hakuna kiongozi yeyote anayemiliki nchi hii, unanielewa?

Usiwe kama kijana anayeanza kubalehe, anayerukia mambo bila kuyaelewa vizuri.

Sasa hiyo "dual citizenship" unataka ya nini? Kwa nini ung'ang'anie kuwa na sehemu unayoichukia maishani mwako.
Kama unakwenda, nenda kimoja.
 
Baba yangu alizaliwa na kuzikwa ardhi hii, so sikatai kuwa navinasaba navyo, i just need fresh air from outside.. cz i real hate this country, i say it from deeper within my heart na uwez lazimisha niipende.

Zen ungeweza kuexpress you thought bila dharau wala kejeli cz i’m capable of that.

Zen km huwez kuexpress opinions zako bila matusi na kejeri basi huu sio uzi sahihi kwako.

Katafute uzi wa michambo na kuchambana hukooo, hope ur capable of tht.
 
Duh!
Wewe ni mgeni hapa?

Hebu ngoja...., Aaahaaa, April 2024!

Kumbe sikukosea kabisa. Wewe unahangaishwa na hali yako mpya; huna la zaidi ya hapo.

Basi tueleze, wewe (baba yako) katokea wapi. Kwa nini usifunge tu virago na kurudi huko kwa mababu. Hakuna atakaye kuzuia kuja hapa kusafisha kaburi la baba yako.

Unajitesa hivi mwenyewe, unataka sisi tukufanyie nini?
Unataka usikie na sisi tukijitoa akili, kwamba hatuipendi nchi yetu?
Wewe ni mdogo sana kumtisha yeyote hapa. Nenda kajifunze kunyoa mavuzi kwanza kwa mara ya kwanza.

Hovyo kabisa.
 
Kazi iendelee...........CCM mbele kwa mbele...........Wa-Danganyika Mutazidi Kuisoma namba...................



 
Usipende kumdiscuss mtu usiemjua kiundani sawa chimpanzii

Km mmetumana huko kuvuruga huu uzi naomba mpite hivi..

Huu n uzi wa wanaume lijali wanaotazamia kesho waitakayo..

Kunauzi wa watu wa upinde huko twitter muende kule,
Ungekuwa rivali usingekuwa unalialia JF bali ungkwenda kujihusisha na shughuli ya kiuchumi. Nyambafff
 
Kakijana haka kame zowea kulelewa tu. Halafu kanajiita incredible mimi kumbe takataka tu kutoka kambi za wakimbizi
 
Viongozi wa dini nao wameingiza vichwa chini ya mchanga na kuona Kila kitu Iko sawa,wengine wanatetea Kila kitu. Huku nchi inazama na jiwe zito liitwalo matrilion
Siku hizi hakuna tena viongozi wa dini waadilifu bali kuna wapiga dili.

Ccm nao kwa kulijua hilo wanatumia huo mwanya kuwarubuni kwa kutumia pesa za mkopo wanaokopa kila uchwao, ambazo mwisho wa siku atazilipa mlala hoi.
Maana nyingine kupitia dini tunajikaanga kwa mafuta yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…