Nauchukia Utanzania wangu

Hem sema una uzalendo gani wewe, huenda bado unakula na kulala bure...lazima utasema ni mzalendo tu. Kamani critical thinker huwezi kujivunia haya yanayoendelea nchini kwa sasa unless ni mnufaika(sio mzalendo) au kula kwa shkamoo.
najua sana,,mim mwenyewe nkipata chance ya kuhama hii nchi ntahama,,ila ni vile hakuna namna

Nb,, pole kwa makasiriko mkuu ila usipanik hadi kudadavua ya watu kisa comment,, nile na kulala bure muhim sifi njaa😌😎, relax.
 
najua sana,,mim mwenyewe nkipata chance ya kuhama hii nchi ntahama,,ila ni vile hakuna namna

Nb,, pole kwa makasiriko mkuu ila usipanik hadi kudadavua ya watu kisa comment,, nile na kulala bure muhim sifi njaa😌😎, relax.
Kumbe hata wewe hufurahishwi na namna mambo yanavyoenda mkuu? Sasa mbona ukamkndia kwa kumwambia aondoke awaachie nyie wazalendo nchi yenu.

Mkuu sina makasiriko, ila ukikosa logic lazima tujiulize kwa nini wewe kwa upuuzi huu unaona ni sawa, seems upo katikati ya uovu au mnufaika indirectly. Sina nia mbaya.
 
Bora hata ww umeliona hili,

Vijana wa sasa hasa dada zetu wamepoteza kabisa muelekeo, wanawaza kuolewa na kukaa tuu..

Hawajali kesho ya vizazi vyao, na wanaamini Siasa si sehemu y maisha yao
 
Uzi n mrefu sn na nimeusoma wote,

Hakika vijana wenyefikra Chanya km ww n hazina kwa taifa, japo ndo uhutaki utz wenyewe 🚶🏻
 
Upo sahihi kabisa, imani zetu zinachezewa sn na hawa viongoz wa Dini wapiga deal…

Dini now days ni siasa, ni biashara na genge la kupenyeza maadili mabovu ndani y jamii. Tuwe macho
 
Hasa ukiwa na exposure, uafrika ni kikwazo sana. Unaona wenzako walivyo serious na kujenga nchi zao.
Exposure ndo kila k2 bro…

Vijana weng wa tz hawana exposure, so yote wanayoyapitia wanahisi wanastahili..

Kumbe mifumo ingekuwa rafiki Amna ambae angekuja hapa kulalamika
 
Kenya wameandamana kupinga ongezeko la kodi Sisi huku watu wanapigana vikumbo kuwania uchawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…