Nauchukia Utanzania wangu

Na ban umepata duh. Hasira za kujichukia ndio zinazidi😎😎
 
Tanzania ina shida, ila kuna nchi nyingi zimetuzidi shida, Nenda Sudan , syria, Somalia , kuna like eneo sio nchi ila ni hatari Gaza , watu wanaishi kama digidigi kuwa na shukrani na hali hii ambayo ukiamka unawaza pesa sio vita
 
Muelewe muandishi na usikurupuke kujibu…
Amani y kweli n ustawi wa nchi na raia wake..
Km hali y maisha ikiendelea kuwa ngumu tutakuwa n tofauti gani na hao uliowataja juu…
 
Serikali lazima iwajibike kwa wananchi wake, itoe mitaji kwa vijana, itoe ajira rasmi, iunde policy zitakazokuwa implemented ili kuokoa janga hili la ugumu wa maisha.

Itafute vyanzo vipya vya mapato n sio kung’ang’ania vyanzo vile vile vya mapato kupitia kodi na tozo umizi kwa raia wake.

Iruhusu competition kwny mashirika y umma yaliojisahau km tanesco, tra, dawasco, bodi y sukari, bodi ya korosho, na mamlaka zingine za kutoa huduma..

Tusiishe kujifananisha na somalia, sudan, libya, djibouti kwa kisingizio cha Amani.

Amani ya kweli n ustawi wa taifa na watu wake. Mtaani hali n mbaya sn sn sn na huo ndo ukweli…

Tabaka la wenyenacho na wasionacho linazidi ongezeka kila leo. Na watu wanapambana sn mtaani sema hakuna mifumo rafiki kwa wale wasio na connection head quarter.

Haya n maoni yng km kijana wa kitanzania na hii sio siasa n hali halisi y mtanzania.

Jua ni kali sana huku kwetuu 🙌🏽
 
Muelewe muandishi na usikurupuke kujibu…
Amani y kweli n ustawi wa nchi na raia wake..
Km hali y maisha ikiendelea kuwa ngumu tutakuwa n tofauti gani na hao uliowataja juu…
kumbe unapiga ramli ? mimi nazungumzia sasa ndio maana nikatoa mifano ya sasa
 
kumbe unapiga ramli ? mimi nazungumzia sasa ndio maana nikatoa mifano ya sasa
Mbona hutolei mifano ya nchi zilizoendelea na zenye utulivu?
Kwann djibout, somalia, palest..
Why not usa, swiden, scotland, denmark etc..

Chawa wa lumumba
 
Mbona hutolei mifano ya nchi zilizoendelea na zenye utulivu?
Kwann djibout, somalia, palest..
Why not usa, swiden, scotland, denmark etc..

Chawa wa lumumba
Kwahiyo kila mtoa mawazo humu tofauti na Wewe ni chawa? kuwa na adabu aiseee wengine hatujawai kujihusisha na siasa zenu za maji taka, JAMBO la msingi hapa Tanzania Kuna shida ila kuna wengi wenye shida kuliko sisi hii iko wazi kabisaa mfano Sudan sasa hivi wanaishi kama panya, Kuna eneo kama Gaza ni mateso matupu Wewe unashida gani ya kuwazidi watu wa Gaza? Wewe ukiamka unaweza pesa , Nenda huko ukaone watu wakiamka wanawaza mabomu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…