Nauguza muda Mrefu nauza friji nipate kodi

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,487
Reaction score
2,599
Salama kaka. Ndugu yangu anauza friji lake ambalo ni jipya kabisa. Anaamua kuliuza kwa sababu kwa sasa anamhudumia baba yake ambaye anaumwa, hivyo gharama za matibabu zimekuwa kubwa na anahitaji fedha kwa ajili ya kodi

Friji lipo Makabe, lita 177 lina warranty na liko katika hali nzuri sana.
Bei 550
Bei na maelezo zaidi wasiliana naye kwa namba:
0655 154 321
 
Aisee kila la kheri kwake. Mitihani ya maisha hii bwana.
MIaka ya nyuma sana nilishawahi kujikuta nauza friji ili nikalupe ada ya watoto.
Usiombe ukutwe na mchacho wa kutokua na uhakika kabisaaa wa kupata hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…