Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hamna nembo ya serikali au latra?
Maamuzi na sera za CCM na magenge yao.
JPM katokea wapi, hili ni tatizo la Dunia nzima, wahini my footKifo cha JPM ni hasara kwa hili taifa..nadhani mnajionea.
Wahuni ndio zao hizo...kumuumiza mwananchi hayanaga huruma.
#MaendeleoHayana
Wakati wanajiandaa kushusha nauli, bei ya mafuta ikapanda tena..Mafuta yalivouzwa lita 1600 hivi hao jamaa walishusha nauli