Nauli kwenda mikoani hatimae zapanda. Mama anaupiga mwingi

House Girl kutoka Bukoba anaefanya kazi Dar, ili amudu 150,000 ya kwenda kwao na kurudi inammbidi aweke 10,000 kila mwezi.

Hapo analipwa 30,000 na ndugu zake wanasubiri msaada wake. Huu ni utumwa mamboleo.
 
Pushgang na Wanyonge mnafurahia taarifa hizi bila kufanya reasoning.
Sawa kabisa, usafirshaji ni biashara ambayo moyo na ubongo ni mafuta!
Sasa sijui wanataka wenye magari wapate hasara kisa kulinda legacy!?

Serikali haina share wala mashirika ya usafirshaji huko, tuseme waweza Ku subsidize.

Wengi tuna ushabiki tunashindwa kutofautisha siasa na vitu vingi Sana.
Na huu ndiyo mtaji mkubwa wa wanasiasa.
 
Atuongezee na kamshahara sasa walau tuendane na kupanda kwa garama za kuishi hasa huku sekta binafsi ndio watanzania wengi wapo huko ambako wanalipwa 120'000
 
Namuomba rahisi apandishe bei za mchele na mahindi mara 10 .
Mbolea zimepanda kwa 100%.
 
Mkuu Sio kwamba wewe ndo una gundu, ikiwa kwa umri wako huwezi kumstahi mtu alokuliko umri na tena mwenye mamlaka, Vipi kwa kabwela Kama Mimi ?
 
Zikishuka huwa hamsemi wala kusema ni lacdunia nzima ila, mnakusanya tu!.
All in all Raisi Hana control yoyote kwenye duala la mfumuko wa bei especially kwenye suala la kupanda bei ya mafuta narudia Tena hili ni suala ni global Kila nchi imeguswa
 
Mkuu Sio kwamba wewe ndo una gundu, ikiwa kwa umri wako huwezi kumstahi mtu alokuliko umri na tena mwenye mamlaka, Vipi kwa kabwela Kama Mimi ?
Inawezekana upo sahihi kuwa nina gundu mkuu, ila upo sahihi zaidi kwa kujijua kuwa ni Kabwela kiasi cha kujitwisha utetezi wa mtu pasi kutumwa.

Umri na mamlaka ni ya kwake, maisha anayoathiri ni ya wengine hivyo ni haki ya kila mwenye lake kulisema kwa njia anayoona inamfaa. Kwa mantiki hiyo basi, ruhusu katika maisha yako kukubali kutokukubali maana ukitilia maanani kila kiandikwacho unaweza jikuta unajinyonga kwa stress.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…