Nauli kwenda mikoani hatimae zapanda. Mama anaupiga mwingi

All in all Raisi Hana control yoyote kwenye duala la mfumuko wa bei especially kwenye suala la kupanda bei ya mafuta narudia Tena hili ni suala ni global Kila nchi imeguswa
Whatever but msitoe false credit wakati hazina uhalisi.
 
Sasa taya lipoje!? Kama fizi imetepeta!?
Haijulikani
Kama Singida na Igunga nauli ni moja na miji ipo hundreds of Kilometres apart unategemea kuna mamlaka hapo!!?

Nzega, Tinde na Kahama nauli ni moja kuna haja gani kuwa na Mamlaka, inatumia vigezo gani kuweka nauli moja kwa miji tofauti
 
Anaupiga mwingi sna na kazi iendelee
 
tutegemee ajali kupungua kwa kuwa sasa madereva wataendesha bila stress kwa kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…