Nauli mpya za Mwendokasi

Nauli inaangalia uelekeo mmoja tu,nao ni juu na hawa politicians wetu hawashituki kwa kufanya hivi maana kun uoga wa kizuzu, 750ths kutoka kimara hadi morrocco terminal mmmmmm hii 750 ND inanitoa Windhoek hadi katima Mulilo, napendekeza tena BOT iendeshwe bila politicians, serikali iuze share zake na ibakiwe na 51%, BOT mpya mandate yake ni controlling inflation, repo rates, kuifanya shilling yetu iwe strong against all major currencies, ningekuwa na uwezo Ths. yetu ningeisimika kwa ZWK au Pula, futa zero zote ibaki 100 note tu,unakwenda BP petrol station unanunua 1L of diesel kwa 23tshs!
 
Nauli inaangalia uelekeo mmoja tu,nao ni juu na hawa politicians wetu hawashituki kwa kufanya hivi maana kun uoga wa kizuzu, 750ths kutoka kimara hadi Morrocco terminal mmmmmm hii 750 ND inanitoa Windhoek hadi katima Mulilo, napendekeza tena BOT iendeshwe bila politicians, serikali iuze share zake na ibakiwe na 51%,

BOT mpya mandate yake ni controlling inflation, repo rates, kuifanya shilling yetu iwe strong against all major currencies, ningekuwa na uwezo Ths. yetu ningeisimika kwa ZWK au Pula, futa zero zote ibaki 100 note tu,unakwenda BP petrol station unanunua 1L of diesel kwa 23tshs
 
Gerezani muhimbili wametumia kigezo gani kuweka 750? Wakati huohuo Kimara Gerezani ni 750 pia.
iko ivi gerezan to muhimbili nauli inafanana na ya kwenda kimara sababu hakuna gari ya moja kwa moja kutokagerezan wenda muhimbili bila kusimama msimbazi na fire

hivyo ukifanya nauli yachini mtu anaweza danganya anaenda muhimbili akashuka msimbazi au fire akapanda ya kimara kwa iyo bei ya chini badala ya750 kama umeoshawai kitumia mwendokasutaelewa
 
Waongeze tu, hata wakitaka wanaotembea Kwa miguu tulipie pesa barabara pia sawa .

Tuendelee kuzinduwa taasisi za machawa .

Hakuna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…