Jibu sahihi ni kwamba route hio inatumia TRUNK roads. Ni kama ukioandia Fire ushuke Magomeni.Hapo nimeelewa mkuu ila ni kuibia abiria anayeenda muhimbili kwa kushindwa ku control abiria wa hiyo route
Hio Vits huko uendako ukipaki masaa matatu gharama inazidi nauli ya kwenda na kurudi
Wangesema waache bei ya kawaida, watu wangelipia Muhimbili ila utamkuta Kimarasafi sana, ndiyo dawa ya mbongo hiyo
Janja ya nyani Kula
Watanzania unatakiwa uwazidi akili, tofauti na hapo unaumia.Hapo nimeelewa mkuu ila ni kuibia abiria anayeenda muhimbili kwa kushindwa ku control abiria wa hiyo route
Hapa kuna haja ya kununu vits
Tunaibiwa hapa
Upiite nayo wapi