Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PassportAhlan wasalaan
Naomba kumuulizeni ni kiasi gani cha nauli kwa fedha ya kiTanzania.
Natanguliza shukran.
Najaribu kuweka basi katika kutafuta riziki.
Na pia kama kuna changamoto zozote katika njia naomba unijuze.
Shukran tena 👍
Kwa sasa nauli ni dollar 100,mabasi ni ratico na classic na unaweza kukosa siti kwa sababu hua wana pakia mizigo kwa wingi sana inaenda Lubumbashi,pia passport, Chet cha COVID,Chet cha manjano dollar 50 ya Visa kuingia Congo ila Zambia ni bule,lakini pale mpakani kuna siku hua kuna watu wa uhamiaji wana weza kutaka uwape hata dollar 10,kwa hiyo nayo ni yakuweka kwenye bajeti maana wana tafta tu kasababu kadogo usipo wapa una weza kuachwa na gari nazani mpaka hapo utakua umepata mwanga.Ahlan wasalaan,
Naomba kumuulizeni ni kiasi gani cha nauli kwa fedha ya kiTanzania.
Natanguliza shukran.
Najaribu kuweka basi katika kutafuta riziki.
Na pia kama kuna changamoto zozote katika njia naomba unijuze.
Shukran tena 👍
Mkuu yote umesema sawa khs safari na usafiri..ila congo maisha unatafuta fresh tu...hivi Da Jack pale lubumbashi anafanya nn ? Je pale kwa Sekela yule sister anafanya nini....kule kamalondo kuna bar pia kubwa tu ya mtanzaniaKwa sasa nauli ni dollar 100,mabasi ni ratico na classic na unaweza kukosa siti kwa sababu hua wana pakia mizigo kwa wingi sana inaenda Lubumbashi,pia passport, Chet cha COVID,Chet cha manjano dollar 50 ya Visa kuingia Congo ila Zambia ni bule,lakini pale mpakani kuna siku hua kuna watu wa uhamiaji wana weza kutaka uwape hata dollar 10,kwa hiyo nayo ni yakuweka kwenye bajeti maana wana tafta tu kasababu kadogo usipo wapa una weza kuachwa na gari nazani mpaka hapo utakua umepata mwanga.
Nb. Congo sio inchi ya kutaftia maisha maana amani ni ziro mda wowote tu kina waka,hata raia wana roho mbaya police na wana jeshi wote wana penda kuomba omba sana pesa kama huna wanaweza kukuumiza,maana wana tembea na siraha za moto mda wote na bange wanavuta bila woga na waningia baa na siraha wanalewa fikiria zaidi kabla hujainza safari,maana una weza fanikiwa kufika ila ukajuta zaidi.
Ni kweri sikatai ina tegemeana na uwezo wa uvumilivu mpaka uje kuya zoea mazingira ya aina hiyo kwangu mimi yali nishinda,tena kama huko likasi na kolwezi fujo hutokea kila mara.Mkuu yote umesema sawa khs safari na usafiri..ila congo maisha unatafuta fresh tu...hivi Da Jack pale lubumbashi anafanya nn ? Je pale kwa Sekela yule sister anafanya nini....kule kamalondo kuna bar pia kubwa tu ya mtanzania
Taqwq kawekeza drc karibu miji yote mikubwa mbn hajakimbia..Unamjua Juma mpemba ? Shemeji wa JKK ....vipi wale madogo ktk stand za taqwq wanazungushq money transfer...nimekaa drc lubumbashi. Kolwezi na likasi kuna wabongo wanafanya maisha vzr tu
Naomba niwe konda tayari nina passport sihangaikiNina basi nataka niliweke njia hiyo