Nauli ya Bus kutoka Dar kwenda Nairobi

Nauli ya Bus kutoka Dar kwenda Nairobi

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
Wakuu,

Nisiwachoshe. Anaejua nauli ya bus kutoka Dar kwenda Nairobi anijuze. Very urgent.

Na kama kuna mawazo ya tofauti pia tujuzane.
 
Nilikwenda na Tahmeed last year, a every comfortable bus. Nauli haizidi 70k.

Hoteli nilibook airbnb kuna apartment Westland.
mkuu umetaja westland nmekumbuka mbali niliwahi kukaa pale kuna njia inaitwa muthithi road karibu sana na hostel za muriri house pale westland....kula sana chapoo na mandondo sukuma pale..
 
Vp mikasi?
 
Tahmeed 65,000 ukifika Nairobi ukishuka Hapo hapo kuna hoteli inaitwa ZAHRA vyumba 600Ksh-1500ksh. Ila hawaruhusu kuingia na demu labda uwa-time wakiwa wamelala ***Mmiliki swala 6.
NB😀ar Lux, Dar Exp na Coast maji ya shingo Dar-NBO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom