moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Tahmeed 65,000 ukifika Nairobi ukishuka Hapo hapo kuna hoteli inaitwa ZAHRA vyumba 600Ksh-1500ksh. Ila hawaruhusu kuingia na demu labda uwa-time wakiwa wamelala ***Mmiliki swala 6.Elfu 60 mpaka 65 kwa mabasi ya Tahmeed
Tanhmeed yale mabasi yapo kama ndege. Nauli yako inaenda kiuhalaliElfu 60 mpaka 65 kwa mabasi ya Tahmeed
mawazo tofauti mkuu tumia dreamliner la ATCLWakuu,
Nisiwachoshe. Anaejua nauli ya bus kutoka Dar kwenda Nairobi anijuze. Very urgent.
Na kama kuna mawazo ya tofauti pia tujuzane.
Panda Hood mpaka AR then kamatia Shuttle Riverside to NairobiKwa hapa Mbeya, Tahmeed ofisi zao ziko wapi? Nataka nikatalii Nairobi.
mkuu umetaja westland nmekumbuka mbali niliwahi kukaa pale kuna njia inaitwa muthithi road karibu sana na hostel za muriri house pale westland....kula sana chapoo na mandondo sukuma pale..Nilikwenda na Tahmeed last year, a every comfortable bus. Nauli haizidi 70k.
Hoteli nilibook airbnb kuna apartment Westland.
Nilikwenda na Tahmeed last year, a every comfortable bus. Nauli haizidi 70k.
Hoteli nilibook airbnb kuna apartment Westland.
Vp mikasi?mkuu umetaja westland nmekumbuka mbali niliwahi kukaa pale kuna njia inaitwa muthithi road karibu sana na hostel za muriri house pale westland....kula sana chapoo na mandondo sukuma pale..
hii ya kukatia vitambaa?!...Vp mikasi?
Haaaaa Haaaaa π mambo ya vijana wa kileo hayohii ya kukatia vitambaa?!...
hahahaha jamaa anataka aniingize lawamani....ampate nani?!....hiyo mikasi yake akatafute mwenyewe...Haaaaa Haaaaa π mambo ya vijana wa kileo hayo
We ni swala ngap mkuu?hahahaha jamaa anataka aniingize lawamani....ampate nani?!....hiyo mikasi yake akatafute mwenyewe...
swala 5+ Bushmamy tena husband material still nna nafasi kadhaa za ziada uko interested eti..W
We ni swala ngap mkuu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tahmeed 65,000 ukifika Nairobi ukishuka Hapo hapo kuna hoteli inaitwa ZAHRA vyumba 600Ksh-1500ksh. Ila hawaruhusu kuingia na demu labda uwa-time wakiwa wamelala ***Mmiliki swala 6.
NBπar Lux, Dar Exp na Coast maji ya shingo Dar-NBO