Jamani wakuu kwa experience yangu ndogo ndani ya jiji la dar nimegundua kuwa,kumlipia demu nauli ya sh 400 kwenye daladala kuna thamani zaidi ya kumuhonga laki.... Jamani leo nimeshukuriwajeee
"Jamani Leo nimeshukuriwajeee " Badili haraka hizi tabia zitakufanya uwe boya kumbuka wewe ni mtoto wa KIUME. Pili sijakuelewa ina maana 400 na laki hujui ipi ni pesa kubwa au umeamuA kutuchekesha na MBONA haichekeshi