Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
Jamani wakuu kwa experience yangu ndogo ndani ya jiji la dar nimegundua kuwa,kumlipia demu nauli ya sh 400 kwenye daladala kuna thamani zaidi ya kumuhonga laki.... Jamani leo nimeshukuriwajeee