Nauli ya ya Dar - Mwanza kwasasa ni Tshs ngapi?

Sensei Tai

Senior Member
Joined
May 26, 2022
Posts
168
Reaction score
466
Habari ya jioni waungwana

Naomba kujuzwa nauli ya Dar to Mwanza kwasasa ni Tshs ngapi kwa semi luxury bus.

Mana nina miaka miwili sijaenda Mwanza sasa mwezi huu nina safari ya kuelekea kanda ya ziwa.

Nikipata msaada wa kutajiwa pia basi linalowahi kufika nitashukuru pia.
 
CHADEMA mnazingua
 
Elfu 65, Ally's bus
 
65,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…