Nauliza Flight ya kutoka Dar mpaka Msumbiji na kurudi

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
587
Reaction score
276
Habari wanajamii, napenda kuuliza kwa yeyote anayejua ni shirika gani la ndege linaloenda Dar-Maputo(Msumbiji) na nauli yake ni approvimate shilling ngapi kwenda na kurudi? Nahitaji msaada.
Asantei.
 
Wana ndege moja tu shirika linaitwa LAM, nauli ni dola 880. Hata hivyo ndege yenyewe wakati mi nasafiri ilikuwa moja baada ya wiki tatu. Kama vipi cheki na KQ wamaweza wakawa wanaenda huko au tumia south African air ways
 
Dola 880 ilikuwa 2009 kwa shirika la LAM, but ilikuwa mara moja after three weeks. Try na KQ pengine wanakwenda huko au tumia south africa airways.
 
Habari wanajamii, napenda kuuliza kwa yeyote anayejua ni shirika gani la ndege linaloenda Dar-Maputo(Msumbiji) na nauli yake ni approvimate shilling ngapi kwenda na kurudi? Nahitaji msaada.
Asantei.

Ipo LAM inaruka jtano, ijumaa na jpili saa 11 jioni!

Maliza udhia kwa kuingia hapa

travelstart.co.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…