Nauliza Hii Tabia Ya Kujaza Ukurasa Wa Hili Jukwaa Kwa Habari Za Msanii Mmoja, Mtaiacha Lini?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Hili Jukwaa Sasa Limechuja
Na Radha Yake Imepotea Kabisa
Mbona Kuna CeLebrities Kibao Hapa Town:..Sasa Kwa Nini Mmebase Kwa Msanii Mmoja Tu?
Kwa Hii Tabia , Mi Nasema Nimechoka!
Jigo
 
Nashauri mods waziunganishe hizo thread zinazoanzishwa kama uyoga za huyo msanii.
 
Mimi pia nilitaka kusema hili jambo...kila mtu anataka kuanzisha thread,au kama ni huyo huyo basi ataanzisha thread zaidi ya tano kwa jambo lilelile
 
Diamond nuksi kudadadekiiii hili songi mupya ni kiboko uwiiii diamonds are forever!!!!!
mtoto wa tandale kaimba kwa hisia hadi kaamsha hisia zangu

Evelyn Salt...Umekumbwa Na Kitu Gani Dadangu?
 
Last edited by a moderator:
Mimi pia nilitaka kusema hili jambo...kila mtu anataka kuanzisha thread,au kama ni huyo huyo basi ataanzisha thread zaidi ya tano kwa jambo lilelile

Tena Unakuta Mada Ni IleIle
 
Sio JF tu ni media zote kwa sasa....Kiukweli Diamond kwa sasa ni kama anawabaka wasanii wenzake, ingekuwa ni uwezo wao wangemfanyaje sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…