Nauliza Hii Tabia Ya Kujaza Ukurasa Wa Hili Jukwaa Kwa Habari Za Msanii Mmoja, Mtaiacha Lini?

PAULA kilaki

uuuwiii hivi nianzaje kuacha kumpenda mondi, kijana anaenipa mavitu matamu hivi.

Shabash!!!!Leo nimekubamba....unakumbuka nilivyosema naanzanje kumchukia Kiba na sura yake ya upole bibi ukawaka hatariiii hadi ukatamani umjue mume wangu umpe umbeya???
Haya niambie hayo mavitu matamu anayokupa ndomo....sipati picha ningesema hivi ile siku....[/QUOTE]

hahahahahahahaaaaaa umetishaaaa nifah unakumbukumbu kama sisimizi wewe mwanamke, kumbe upo humu ndani shogaa unapita kimya kimya, changia bwana acha kujipa stress video ya kiba inatoka soon si unajua alikuwa anamsubiri mondi atoe ili apate lift??? buhahahahahahaa uwii nimecheka sana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mimi natembelea sana na kuchangia sana hili jukwaa ndio maana nimeandika hivyo!

Kwa sababu ni jukwaa la celebrity ni lazima wajadiliwe celebrity na si kwasababu ya kuwa celebrity bali kwasababu wako hot kipindi hiki!

Hata kwenye maradio watu hulalamika nyimbo Fulani ndio zinapigwa sana kumbe wana sahau kuwa hizo zinapigwa kwa kuwa ziko kwenye chat na walaji ndio wanapenda kuzijadili!

Pengine wewe una shangaa watu wawili au mmoja kutawala jukwaa pengine majibu ni Yale Yale kuwa hao ndio wanao uza na hao ndio wana jadilika maana kuna kitu cha kuwafanya watu wajadili!

Na kuna ushahidi usio tia shaka wanao trend sana humu kwa mijadala ndio wanao ongelewa kwenye media zote bongo kwa kila siku bila shaka kwenye hili hutoomba ushahidi maana huko wazi!

Hata Mimi ningependa tusiwajadili au tusimjadili mtu mmoja kwenye jukwaa hili lakini ukiniuliza unataka tumjadili nani na kwasababu gani pengine naweza nisikupe jibu la haraka!

Pengine njia pekee ya kuondokana na hilo unalo fikiri ni tatizo ni kuanzisha mada zingine na uangalie...pengine ni wakati wao hao na ndio wanao uzika sana!

Pengine hadhi ya jukwaa Mimi na wewe tunaitafsiri tofauti .kwangu Mimi ninapo ona jukwaa linapata wachangiaji wengi kwenye mada hapo hadhi yake hiko juu na imeongezeka! Jukwaa hili unalo sema hadhi yake imeshuka lilikuwa limepooza sana miaka miwili iliyopita lakini kwa sasa ni Moja ya majukwaa hot hapa jf kama wewe si mgeni humu!

Pengine hadhi ya jukwaa ni zaidi ya kujadili watu wengi!

umejibu kama moderator vile, aliyeamua kutoa hitimisho la mjadala, nimeipenda
 
Tatizo huyu msanii ameshindikana kabisa..... Leo katoa nyimbo utafikiri sherehe ya kitaifa Pia kumbuka hakuna kitu kinachomgusa mwanadamu kama Muziki utatulaumu bure ...

Hiyo inaitwa effect ya Dimond platnumz

hahahahahahahaaa eti mondi kutoa wimbo utafikiri sherehe ya kitaifa eti nifah na geniveros ni kweli???? huyu el nino anaudhii eee??? kwi kwi kwi kwiiii nimewamithiiiiiiiiiii nitawapata wapi??? yani nikilala ninawaota, in platnumz voice beiiiibe!!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa habari ya mujini ni Mondi na Madam sasa waswahili tunavyopenda umbea lazima zitawale.Sio hapa hata huko Jay Z alipochezea vitasa kwa shem kila media ilikuwa yeye.So hapa hot ni Mondi sasa utaleta habari gani ya Dudu Baya mpk iwe interested.?
 
Shabash!!!!Leo nimekubamba....unakumbuka nilivyosema naanzanje kumchukia Kiba na sura yake ya upole bibi ukawaka hatariiii hadi ukatamani umjue mume wangu umpe umbeya???
Haya niambie hayo mavitu matamu anayokupa ndomo....sipati picha ningesema hivi ile siku....

hahahahahahahaaaaaa umetishaaaa nifah unakumbukumbu kama sisimizi wewe mwanamke, kumbe upo humu ndani shogaa unapita kimya kimya, changia bwana acha kujipa stress video ya kiba inatoka soon si unajua alikuwa anamsubiri mondi atoe ili apate lift??? buhahahahahahaa uwii nimecheka sana[/QUOTE]

Mhhhh umevaa miwani ya miti nini?mbona nimechangia sana....
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahaaa eti mondi kutoa wimbo utafikiri sherehe ya kitaifa eti nifah na geniveros ni kweli???? huyu el nino anaudhii eee??? kwi kwi kwi kwiiii nimewamithiiiiiiiiiii nitawapata wapi??? yani nikilala ninawaota, in platnumz voice beiiiibe!!!

Naomba wajue kutofautishaa msalaba na jumlisha kuna x na kuzidishaaaa heheeee
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahaaaaaa umetishaaaa nifah unakumbukumbu kama sisimizi wewe mwanamke, kumbe upo humu ndani shogaa unapita kimya kimya, changia bwana acha kujipa stress video ya kiba inatoka soon si unajua alikuwa anamsubiri mondi atoe ili apate lift??? buhahahahahahaa uwii nimecheka sana

Mhhhh umevaa miwani ya miti nini?mbona nimechangia sana....[/QUOTE]

si unajua nipo ndotoni naota nitampata wapi ndio maana sijakuona wangu, happy to see you!!
 
Last edited by a moderator:
Hili jukwaa wala halijachuja ndio limepamba moto!
Ni vigumu kuwapangia watu cha kujadili wakati umepoteza muda kulalamika badala ya kuanzisha thread unayo ona mpya halafu watu wajadili!

Samahani lakini!

Tutaenda kuchangia thread atakayoanzisha, ila kwa sharti moja, topic Iwe hot hot hoooooti kama thread za chibu
 
Mkuu Mimi natembelea sana na kuchangia sana hili jukwaa ndio maana nimeandika hivyo!

Kwa sababu ni jukwaa la celebrity ni lazima wajadiliwe celebrity na si kwasababu ya kuwa celebrity bali kwasababu wako hot kipindi hiki!

Hata kwenye maradio watu hulalamika nyimbo Fulani ndio zinapigwa sana kumbe wana sahau kuwa hizo zinapigwa kwa kuwa ziko kwenye chat na walaji ndio wanapenda kuzijadili!

Pengine wewe una shangaa watu wawili au mmoja kutawala jukwaa pengine majibu ni Yale Yale kuwa hao ndio wanao uza na hao ndio wana jadilika maana kuna kitu cha kuwafanya watu wajadili!

Na kuna ushahidi usio tia shaka wanao trend sana humu kwa mijadala ndio wanao ongelewa kwenye media zote bongo kwa kila siku bila shaka kwenye hili hutoomba ushahidi maana huko wazi!

Hata Mimi ningependa tusiwajadili au tusimjadili mtu mmoja kwenye jukwaa hili lakini ukiniuliza unataka tumjadili nani na kwasababu gani pengine naweza nisikupe jibu la haraka!

Pengine njia pekee ya kuondokana na hilo unalo fikiri ni tatizo ni kuanzisha mada zingine na uangalie...pengine ni wakati wao hao na ndio wanao uzika sana!

Pengine hadhi ya jukwaa Mimi na wewe tunaitafsiri tofauti .kwangu Mimi ninapo ona jukwaa linapata wachangiaji wengi kwenye mada hapo hadhi yake hiko juu na imeongezeka! Jukwaa hili unalo sema hadhi yake imeshuka lilikuwa limepooza sana miaka miwili iliyopita lakini kwa sasa ni Moja ya majukwaa hot hapa jf kama wewe si mgeni humu!

Pengine hadhi ya jukwaa ni zaidi ya kujadili watu wengi!

Kudos, asipoelewa leo ataelewa kesho kutwa, kumbuka katika learning process kuna kina siye slow learners!
 
Sasa habari ya mujini ni Mondi na Madam sasa waswahili tunavyopenda umbea lazima zitawale.Sio hapa hata huko Jay Z alipochezea vitasa kwa shem kila media ilikuwa yeye.So hapa hot ni Mondi sasa utaleta habari gani ya Dudu Baya mpk iwe interested.?

Hahahaaa haaaaaa haaahaa lol, dudu baya, sijui nani atakuja kuchangia!
 
Ila mashabiki damu wa kijana wetu mpenzi diamond naombeni mnisaidie kwa hili, haya maneno ya kwenye hii nyimbo mpya #ntampata wapi mbona kama niliyasikia kutofautisha X na zidisha, + na msalaba. Tena nimewahi kuyasikia in diamond's voice, mwaka 2012, au na mi naota?
 
hv ww hujawah kujiulza n kwann shigongo anapenda kuandka habar za watu haohao?ina maana tz hakuna watu zaid ya hao au hakuna habar mpya jbu n kwamba watz wnapenda habar zao watu kulko watu wengne so ndo mana kla cku n hao hao coz habar zao ndo znauza sana kupta habar nyngne
 
Back
Top Bottom