Nauliza Hii Tabia Ya Kujaza Ukurasa Wa Hili Jukwaa Kwa Habari Za Msanii Mmoja, Mtaiacha Lini?

Nauliza Hii Tabia Ya Kujaza Ukurasa Wa Hili Jukwaa Kwa Habari Za Msanii Mmoja, Mtaiacha Lini?

hapo upo sawa, nilidhani eti humpendi mondi, sasa swala linakuja mondi is workin extremely hard while kiba amekiachia kipaji kimfanyie kazi ndio maana anapoteza mvuto. akifanya kazi nzuri tupo kumsupport bila kinyongo kabisaaaaa

Ataanzia wapi kumchukia Dai thubutuuuuuuuuuu
 
Daimond ni bora kwa afya yako tafadhalii naona unadhoofika wasanii wengine watakupa msongo wa mawazo video hawatoiiii, chagua Daimond kwa afya yakooo

buhaahahahahaahahahahaha dina leo unanipa dozi ya kichekoooo
 
Umepona eeeee kwa afya yako sikiliza nyimbo mpya na video kali toka kwa msanii Mkali East Afrika Nzima amewakalishaaa Diamond Platnum ni kwa Afya yako tuuuy

Toka niiione ile video nimepata afueni mashallah....hapa homa ikipanda nasikiliza audio basi inashuka...

Kweli diamond ndo almasi...
 
Jamaa unatokea mji gani wewe? Dar es salaam sio town ni city au unatokea morogoro nini...acha kushusha hadhi jiji la watu wewe wa kuja nini? sijachangia habari za msanii sababu sijaona point ya kuchangia...
 
Within seven hours, tayari Nitampata Wapi ina viewers 29,000+!! Yaani hata akiachia video tayari inakuwa talk of the city!!! Sijawahi hata siku moja kusema kwamba eti Diamond ndie mwanamuziki mkali kuliko wote lakini siwezi kuwa mnafiki na kukataa kwamba Diamond ndie mwanamuz anayekubalika kuliko wote hivi sasa! The guy said this before: "I don't believe in talent but in hardworking!" BRILLIANT... kuukataa ukweli huu ni sawa na kukataa kwamba kinachozunguka si jua bali ni dunia ndiyo huzunguka in counterclockwise!!!
 
Last edited by a moderator:
tumekuskia haya rudi kule facebook now utupe nafasi sisi tuendelee kuota vitu vitamu buana, u know????


Mmeto Kwenye Mdogomdogo Sasa Ni Kuota Ndoto Tamu
Huu Upepo Utapita Tu
 
Hili Jukwaa Sasa Limechuja
Na Radha Yake Imepotea Kabisa
Mbona Kuna CeLebrities Kibao Hapa Town:..Sasa Kwa Nini Mmebase Kwa Msanii Mmoja Tu?
Kwa Hii Tabia , Mi Nasema Nimechoka!
Jigo

haters at work.hama jukwaa kama vipi.
 
Unazijua duru za ubuyu wew kama hujui acha watu wafanye yao tupo wengi tunapenda ubuyu hata ukijazwa ktk kitabu aaagghhhh diamond katisha
 
Yaani majirani zake Bwana Mcharo kama nawaona vilee: "Aaah, yaani kila siku nyama, hizi sifa sasa... mnatuumiza pua jamanii...!" Samahanini majirani wa Bwana Mcharo, mwenye mbili havai moja!!!!
 
Back
Top Bottom