Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa unatokea mji gani wewe? Dar es salaam sio town ni city au unatokea morogoro nini...acha kushusha hadhi jiji la watu wewe wa kuja nini? sijachangia habari za msanii sababu sijaona point ya kuchangia...
Mkuu Hawa Watu Wanaudhi Sana
Mi mgeni humu, kwani huyo msanii mmoja anayezungumziwa huyo huyo kila siku ni nani??Hili Jukwaa Sasa Limechuja
Na Radha Yake Imepotea Kabisa
Mbona Kuna CeLebrities Kibao Hapa Town:..Sasa Kwa Nini Mmebase Kwa Msanii Mmoja Tu?
Kwa Hii Tabia , Mi Nasema Nimechoka!
Jigo
Hili jukwaa wala halijachuja ndio limepamba moto!
Ni vigumu kuwapangia watu cha kujadili wakati umepoteza muda kulalamika badala ya kuanzisha thread unayo ona mpya halafu watu wajadili!
Samahani lakini!
Mi mgeni humu, kwani huyo msanii mmoja anayezungumziwa huyo huyo kila siku ni nani??
Hahahahh
Mnibebeshe Madukuduku Nishindwe Kuyabeba
Ila Hili Dukuduku lazima Lizingatiwe
Hili jukwaa wala halijachuja ndio limepamba moto!
Ni vigumu kuwapangia watu cha kujadili wakati umepoteza muda kulalamika badala ya kuanzisha thread unayo ona mpya halafu watu wajadili!
Samahani lakini!
Aanhaa!! Kumbe ni yule ambae majirani zake wanawaka kimya kimya kwa kusema: "Aaaah, sasa hii sifa, na leo tena nyamaa... tunaumizana pua jamani!"Diamond platnumz aka chibu aka dangoteeeeee
Aanhaa!! Kumbe ni yule ambae majirani zake wanawaka kimya kimya kwa kusema: "Aaaah, sasa hii sifa, na leo tena nyamaa... tunaumizana pua jamani!"
Aanhaa!! Kumbe ni yule ambae majirani zake wanawaka kimya kimya kwa kusema: "Aaaah, sasa hii sifa, na leo tena nyamaa... tunaumizana pua jamani!"
Huyu huyoooooooo
Mi nilikuwa sijafahamu... huyu nae kazidi misifa, hebu muambieni bhana, mambo gani haya kila siku nyama wakati majirani zake wakibana bana na kupata japo matembele, yanakosa hata nyanya!!!Huyo huyoooo... anawachomajeee
Mi nilikuwa sijafahamu... huyu nae kazidi misifa, hebu muambieni bhana, mambo gani haya kila siku nyama wakati majirani zake wakibana bana na kupata japo matembele, yanakosa hata nyanya!!!
Anayeshindia tembele kumwambia ahamie kwenye dagaa ni sawa na kumwambia mwenye uwezo wa maji ya Kandoro ahamie kwenye Uhai! Labda sema kama shida ni nyanya, basi hata nyanya chungu nazo nyanya; zitawasaidia kuongeza apetaiti. Na kama nongwa yao ni kwavile Mzee Mchalo kila siku kula nyama basi hata makongoro nayo nyama... wanaweza kupitia pitia angalau mara moja moja!Hahaaaa wakichoka matembele wapike hata dagaa wa chukuchuku
Umeona Mkuu
inaboa sana
Cha Ajabu Unakuta Habari Ni ileile
ilikuwa Haina Haja Ya Kufungua Mada Mpya
Anayeshindia tembele kumwambia ahamie kwenye dagaa ni sawa na kumwambia mwenye uwezo wa maji ya Kandoro ahamie kwenye Uhai! Labda sema kama shida ni nyanya, basi hata nyanya chungu nazo nyanya; zitawasaidia kuongeza apetaiti. Na kama nongwa yao ni kwavile Mzee Mchalo kila siku kula nyama basi hata makongoro nayo nyama... wanaweza kupitia pitia angalau mara moja moja!
Nimekupata Kiongozi
Kabla Sijatoa Thread Hyo Nikaona Kwanza Nitoe Hili Dukuduku Langu
Kweli Kila Mtu Na Uchaguzi Wake
Yaani Huoni Jukwaa Lilivyopoteza Hadhi?
Chunguza Hizo Thread Hapo Nje Ndo Utajua Nnachoongea Kina Maana Gani!