Nauliza hivi; tunatumia vigezo gani kupima maendeleo Tanzania?

Nauliza hivi; tunatumia vigezo gani kupima maendeleo Tanzania?

zebingwa

Member
Joined
Oct 6, 2024
Posts
33
Reaction score
71
Utasikia uchumi umepaa mara maisha bora, hivi kwa speed yetu iko siku tutafikia nchi kama USA?
 
Utasikia uchumi umepaa mara maisha bora, hivi kwa speed yetu iko siku tutafikia nchi kama USA?
USA?
Nimebahatika kufikamo.....mara nyingi huteta na wazee wenzangu wa USA.....ni kwamba mafanikio yao yametokana na jasho jingi...machozi mengi na damu za kutosha......ili TAnzania tufike hapo lazima JASHO MACHOZI DAMU
 
Back
Top Bottom