Z zebingwa Member Joined Oct 6, 2024 Posts 33 Reaction score 71 Oct 23, 2024 #1 Utasikia uchumi umepaa mara maisha bora, hivi kwa speed yetu iko siku tutafikia nchi kama USA?
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 Oct 24, 2024 #2 zebingwa said: Utasikia uchumi umepaa mara maisha bora, hivi kwa speed yetu iko siku tutafikia nchi kama USA? Click to expand... USA? Nimebahatika kufikamo.....mara nyingi huteta na wazee wenzangu wa USA.....ni kwamba mafanikio yao yametokana na jasho jingi...machozi mengi na damu za kutosha......ili TAnzania tufike hapo lazima JASHO MACHOZI DAMU
zebingwa said: Utasikia uchumi umepaa mara maisha bora, hivi kwa speed yetu iko siku tutafikia nchi kama USA? Click to expand... USA? Nimebahatika kufikamo.....mara nyingi huteta na wazee wenzangu wa USA.....ni kwamba mafanikio yao yametokana na jasho jingi...machozi mengi na damu za kutosha......ili TAnzania tufike hapo lazima JASHO MACHOZI DAMU