Wa Bagamoyo
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 118
- 12
Kwanini msipiane simu ndugu zanguni mkaulizana kuhusu suala hilo?
tunalamba BIYA tu kwasasa, wewe bado tu?, lol pole.
hatuwezi kusoma vizuri na hela mfukoni bana, lazma tutumbue kwanza ndio kitabu kipande vizuri.We lamba bia tu ila ujue maisha yamebadilika, ndo maana nyie wanachuo mnaishiwa hela mwishowe mnakaba watu