Nauliza: Hivi wa UDOM education (BAED) mshaekewa hla za field?????

Nauliza: Hivi wa UDOM education (BAED) mshaekewa hla za field?????

Wa Bagamoyo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
118
Reaction score
12
Nauliza jamani mana sisi wa Saut- Mwanza na udom ndo tuliobakia wa mwisho wanatutesa hawa jamaa aghhhhhhh.
 
Kwanini msipiane simu ndugu zanguni mkaulizana kuhusu suala hilo?
 
tunalamba BIYA tu kwasasa, wewe bado tu?, lol pole.
 
tunalamba BIYA tu kwasasa, wewe bado tu?, lol pole.

We lamba bia tu ila ujue maisha yamebadilika, ndo maana nyie wanachuo mnaishiwa hela mwishowe mnakaba watu
 
We lamba bia tu ila ujue maisha yamebadilika, ndo maana nyie wanachuo mnaishiwa hela mwishowe mnakaba watu
hatuwezi kusoma vizuri na hela mfukoni bana, lazma tutumbue kwanza ndio kitabu kipande vizuri.
 
Back
Top Bottom