Nauliza hivii!

Nauliza hivii!

mapung'o

New Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Naomba kuuliza hivi kupiga puli kila siku kuna madhara?na kama yapo ni yepi maana mimi daily lazima nikamue walau mara2 na nipo fit tu!ila sina demu na sina mpango kabisa wakuwa nae!
 
siku zote wanazoelezea kuhusu puli we unakuwa wap,:alien:
 
Wenzako wanasoma mida hii, unafanya nini huku kwa wakubwa? Kapige punyeto uwahi ukalale. Afu mnalalamika eti NECTA hawako fea.
 
Naomba kuuliza hivi kupiga puli kila siku kuna madhara?na kama yapo ni yepi maana mimi daily lazima nikamue walau mara2 na nipo fit tu!ila sina demu na sina mpango kabisa wakuwa nae!

jombaa naomba uaupdate hii thread yako mpaka kesho me ntakuelezea kwa mifano! Kwa sasa naskia ucngz vbaya mno pia nakuonea sana huruma!
Au kama vip ni PM
 
Naomba kuuliza hivi kupiga puli kila siku kuna madhara?na kama yapo ni yepi maana mimi daily lazima nikamue walau mara2 na nipo fit tu!ila sina demu na sina mpango kabisa wakuwa nae!

:biggrin1: inaelekea we ukiwekewa mwanamke uchi mbele yako na sabuni...mashine yako itasimama ikiona sabuni
 
ni rahis sana kuacha pombe au bangi kuliko hako kamchezo!
Na akifanya mchezo itakuwa sawa na teja anaacha kula unga akiwa MILEMBE!

k
 
Naomba kuuliza hivi kupiga puli kila siku kuna madhara?na kama yapo ni yepi maana mimi daily lazima nikamue walau mara2 na nipo fit tu!ila sina demu na sina mpango kabisa wakuwa nae!

JIBU: Madhara yapo tena makubwa na ni ya kisaikolojia ambayo baadaye hugeuka kuwa yakibaiolojia. Achana na hako ka mchezo. By the way, unahangaika na hako ka mchezo ka nini wakati wadada wapo? Tafuta mwaminifu mkapime ngoma then uanzie toka hapo kama umri wako unaruhusu, kama upo shule, achana na kuwahi haya mambo kajisomee kwa faida ya maisha yako yajayo.
 
mmmh!!! kwani ukiona mwanamke unajisikiaje? au unapofanya hivyo unavuta hisia ya kitu gani unahisi unakula Embe dodo au unakua na hisia ya mwanamke?
 
Back
Top Bottom