S Shery Member Joined Jun 16, 2011 Posts 45 Reaction score 3 Aug 10, 2011 #1 Habari zenu JF!naomba kuuliza jamani,mwenye ufahamu kuhusu application za diploma ktk fani za afya kupitia wizara ya afya zinatoka lini na je kama mtu atachaguliwa kusomea clinical officer(tabibu) atasoma kwa miaka mingapi?NAWASILISHA.
Habari zenu JF!naomba kuuliza jamani,mwenye ufahamu kuhusu application za diploma ktk fani za afya kupitia wizara ya afya zinatoka lini na je kama mtu atachaguliwa kusomea clinical officer(tabibu) atasoma kwa miaka mingapi?NAWASILISHA.