Nauliza jamani!

Nauliza jamani!

Shery

Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
45
Reaction score
3
Habari zenu JF!naomba kuuliza jamani,mwenye ufahamu kuhusu application za diploma ktk fani za afya kupitia wizara ya afya zinatoka lini na je kama mtu atachaguliwa kusomea clinical officer(tabibu) atasoma kwa miaka mingapi?NAWASILISHA.
 
Back
Top Bottom