Nauliza jambo la maana....................

Nauliza jambo la maana....................

Don255

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
1,069
Reaction score
849
........HIVI? ni procedures zip nifuate n napo taka kwenda kusoma MASTERS?..................NA JE? vp kuhusu mzamin maana nilisikia kwmba unaweza pata mzamin kupitia BENK unayoitumia je ni kweli?.......MSAADA TAFADHARI...........
 
Andika vizuri, unataka kusoma masters wapi na course gani? Mdhamini wa aina gani?
 
Back
Top Bottom