Nauliza jinsi ya kuandika barua TCU

Nauliza jinsi ya kuandika barua TCU

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Nauliza jinsi ya kuandika barua na vitu vya kuambatanisha kwenda tcu kwa wale ambao walipata post mwaka jana lkn hawakuriport ili waweze kuomba mwaka huu
 
Nauliza jinsi ya kuandika barua na vitu vya kuambatanisha kwenda tcu kwa wale ambao walipata post mwaka jana lkn hawakuriport ili waweze kuomba mwaka huu

Kama uko dar nenda pale mikocheni ifisini kwao watakupa maelekezo, utaomba karatasi pale utaandika barua kueleza ulichaguliwa chuo gani mwaka jana na kwa nini hukuenda,hakuna ushahidi wowote wanaotaka wala viambatanisho vyovyote, ni barua tu na maelezo kwa nini hukuenda chuo wape sababu kwamba ulikosa mkopo na hukuweza kugaramia masomo ila sasa unatumai utapata mkopo au unaweza kujisomesha au kama ulipata mkopo na hukuenda wambie ulipata matatizo ya kiafya ukashndwa kwenda kisha unaiacha pale mapokezi baada ya siku moja unaruhusiwa kufanya usajili ipya au unawapigia simu kuwakumbusha baada ya siku moja kama watakua hawajakuruhusu kujisajili watafanya hvyo fasta, nilimfanyia hvyo dogo mwaka juzi baada ya kuahrisha kwenda chuo.

Kama hauko dar mtume jamaa yako akufanyei hivyo ni haraka tu unapata majibu
 
Back
Top Bottom