Nauliza: Katiba inatakiwa kudaiwa na vyama vya siasa au wananchi?

kanone

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2013
Posts
6,188
Reaction score
1,576
Nauliza swali ili baada ya kuwepo baadhi ya vyama vya siasa kuanzisha harakati za kudai katiba nda ya vyama vyao na kutoa maelekezo kwa viongozi wa vyama hivyo,
Nafikiri nafikiri viongozi hao wangetuomba ridhaa kwa wananchi ktk michakato hii,badala ya kuibeba kama agenda ya chama furani cha siasa,
Nakumbuka mchakato wa awali ulipoteza maana baada ya wanasiasa kuanza kurumbana na kutukosesha haki ya kupata katiba
NAWASHAURI
Wanasiasa badala ya kuanzisha hoja ambazo zinaelekea kuvuruga tena suala ili wakae kimia wasubili maana rais alishasema atalifanyia kazi badala ya kuanza tena mambo yaleyale yaliyopelekea kuaribika mchakato wa kwanza,
 
Hawana pa kutokea wakiona hata mchicha wanajua kichaka cha kujisaidia
 
Nauliza swali ili baada ya kuwepo baadhi ya vyama vya siasa kuanzisha harakati za kudai katiba nda ya vyama vyao na kutoa maelekezo kwa viongozi wa vyama hivyo,
Nafikiri nafikiri viongozi hao wangetuomba ridhaa kwa wananchi ktk michakato hii,badala ya kuibeba kama agenda ya chama furani cha siasa,
Nakumbuka mchakato wa awali ulipoteza maana baada ya wanasiasa kuanza kurumbana na kutukosesha haki ya kupata katiba
NAWASHAURI
Wanasiasa badala ya kuanzisha hoja ambazo zinaelekea kuvuruga tena suala ili wakae kimia wasubili maana rais alishasema atalifanyia kazi badala ya kuanza tena mambo yaleyale yaliyopelekea kuaribika mchakato wa kwanza,
Kwa hiyo kwa akili yako hao wanachama na viongozi wa hivyo vyama vya siasa siyo wananchi?
 
Ni vyama vya siasa vilivoamua kubeba katiba mpya kama ajenda yao.
 
Katiba ndio njia halali ya maisha ndani ya AMANI kuelekea maendeleo yakweli, tija na ufanisi KWA MLINGANYO SAWA BAINA YA WATANZANIA WOTE. (wanasiasa na wananchi kwa ujumla)

Katiba ni haki kwa kila mmoja wetu kufikia malengo yake kwa utaratibu tuliokubaliana kama taifa na si vinginevo

-Wananchi inawapa uwezo kutenda mambo kwa kufuata taratibu, kanuni na sheria

-Wanasiasa inawapa uwezo kutenda mambo kwa kufuata taratibu, kanuni na sheria

-Vivyo hivyo, Wanafunzi, walemavu nk

Hivyo basi viongozi wa siasa wanayohaki yamsingi kabisa kuhakikisha kwamba Taifa linakuwa na KATIBA BORA kwa manufaa ya wanachama wao na wananchi wote kwa ujumla.

Wanayohaki 100%
 
Hii Nchi kuna watu (Wengi wao kutoka CCMijizi) ukiwaambia wa define who is Mwana Siasa watasema Wapinzani
Haha haha!
Halafu Neno Mzalendo Kwao Linamanisha Yeyote Anayekiunga Mkono Chama cha Mapinduzi!
 
Hicho chama cha siasa kimembeba nani au bila uwepo wa watu kingekuwepo?

Wewe ulishawahi kusimama kwa miguu yako kudai katiba?
 
Nauliza swali ili baada ya kuwepo baadhi ya vyama vya siasa kuanzisha harakati za kudai katiba nda ya vyama vyao na kutoa maelekezo kwa viongozi wa vyama hivyo,
Nafikiri nafikiri viongozi hao wangetuomba ridhaa kwa wananchi ktk michakato hii,badala ya kuibeba kama agenda ya chama furani cha siasa,
Nakumbuka mchakato wa awali ulipoteza maana baada ya wanasiasa kuanza kurumbana na kutukosesha haki ya kupata katiba
NAWASHAURI
Wanasiasa badala ya kuanzisha hoja ambazo zinaelekea kuvuruga tena suala ili wakae kimia wasubili maana rais alishasema atalifanyia kazi badala ya kuanza tena mambo yaleyale yaliyopelekea kuaribika mchakato wa kwanza,
Kwan wanasiasa sio wananchi....?
 
Katiba siyo ya rais kwamba aachiwe peke yake anaweza kutuletea katiba ya kidikteta.
 
ni ukweli usio pingika kuwa ule mchakato wa mwanzo uliathiliwa na wana siasa wakiwemo ccm na upinzani

mtoa mada ana hoja ya msingi sana tatizo lenu kila anaye hoji tofauti na kile mnacho taka kusikia basi mnamwita ccm na majina mengine ya kukera

ila ukweli utabaki wazi wna siasa ndio waliharibu ule mchakato wa mwanzo
 
Mkuu wanasiasa sio wananchi?
 
Acha unafki ndugu yangu,wanaccm ndo waliharibu ule mchakato,wapinzani walitaka maoni yaliyotolewa na tume ya Warioba jaji kutoka kwa wananchi yaheshimiwe,be straight, acha unafki wa kitanzania.
 
Wewe mbona hujadai na hujui namna ya kudai
 
Back
Top Bottom