mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,170
Nawaza kwa sauti uko pande za somalia wewe sio mtanzania.Hawana pa kutokea wakiona hata mchicha wanajua kichaka cha kujisaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaza kwa sauti uko pande za somalia wewe sio mtanzania.Hawana pa kutokea wakiona hata mchicha wanajua kichaka cha kujisaidia
Njaa MkuuAkili za maccm, sijui zimeathiriwa na nin?
Ukisema wananchi umetaja Raia kwa ujumla wao bila itikadi, yaani bila kujali vyama dini jinsia nk.Hivi vyama vya siasa na wananchi unaweza kuvitenganisha??
Maoni ya katiba yalitolewa na watu wakiwa ki-binafsi, ki- vyama, ki-madhehebu, nk.Hicho chama cha siasa kimembeba nani au bila uwepo wa watu kingekuwepo?
Wewe ulishawahi kusimama kwa miguu yako kudai katiba?