Asante! Bali ningependa kama kuna ambaye atanipa maelekezo ya uhakika ili kwanza nijue kama inawezekana kisha itanifaa ipi halafu nafunga safari kwenda kunua kitu ambacho tayari nina maelekezo yake ya uhakika. Hii ni hatua ya mwanzo, mwisho wa siku nitafunga safari kwenda kununua.Mh? Mkuu! Tembelea wauzaji wa mifumo ya umeme wa solar! Hata hivyo umeme wa solar ni "direct current, dc"; na umeme wa TANESCO ni "alternating current, ac". Basi, utahitaji "inverter", kama hicho kifaa chako akina option ya dc

Specification zake zilizoandikwa pale ndo nimezinukuu hapa:Piga picha mahali penye maandishi ya aina ya umeme na mahali unapoingizia umeme wa hicho chombo chako utuwekee hapa itakuwa vizuri kukushauri