ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Moja Kwa moja niende kwenye hoja kuna hili suala mtu Anaapa kwamba hatakuja kunywa smart gin ila k vant na konyagi anabugia kama kawaida.
Nataka nijuzwe spirit kama spirit hizi zenye ethanol na gin mfano tufanye smart na konyagi tofaut ni ipi katika kuumizana maana me nachojua zote ni sumu tofaut ipo kwenye distillation means konyagi imechujwa zaidi imekuwa fine ILA LINAPOKUJA SUALA LA MADHARA YA POMBE KALI MFANO KANSA, ISHU ZA FIGO N. K NAONA ZOTE SAWA TU IWE GONGO AMA SMART AMA KONYAGI.
YOYOTE IKIAMUA KUKULETEA SHIDA INAKULETEA TU NI SUALA LA MUDA TU.. kinchonishangazaga ni pale mtu anaona kama k vant au konyagi Kwa kuwa ni brand kubwa za bei ndo anadhani yuko salama.. Ila in short tutafuteni Hela kweli kuna pombe sio kabisa za kutumia.