Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 1,513
- 2,019
GONGO HAINA KEMIKALI HAINA MADHARA SEMA TU HALUFU JITAHIDI UWE UNAPATA NAMBA ONE IPO VZURI SANA KISHA SHUSHIA CASTLE MILK IMO KWSHA HABARIKuna jamaa yupo kijijini kwetu kule tumekua tukimuona anakunywa gongo tu na siku moja moja mbege, kazi zake ni kupasua mawe na kupasua mbao, kila ukimuona unasema huu mwaka hatoboi, tokea nikivyo toka kijijini 2003 mpaka leo yupo na gongo ndio kinywaji chake wakati wote, huwa natafuta madhara ya pombe kali kama invyosemwa hapa jukwaaani nakosa ushuhuda.