Nauliza kwanini hatuna safari za meli Mtwara to Dar

Wakati Wa Hayati Mkapa Ilikuwepo Meli Inaitwa Santorino Inatoka Dar Es Salaam ~Mtwara Via Lindi Sijui Kulitokea Nini Ikaondoka
Dar ~ Bagamoyo Jiwe Alinunua Kifuko Kizee Kikawa Siku Nzima Kinahaha Baharini
Akakipeleka Jeshini
Ila Jiwe!! Akasema na atakayekijadili ni sawa na anayejadili kifaru cha jeshi🙂 Nafikiri tunahitaji kitabu kikubwa kitakachoelezea vituko vya marais wa Tanzania.
 
Wakati Wa Hayati Mkapa Ilikuwepo Meli Inaitwa Santorino Inatoka Dar Es Salaam ~Mtwara Via Lindi Sijui Kulitokea Nini Ikaondoka
Dar ~ Bagamoyo Jiwe Alinunua Kifuko Kizee Kikawa Siku Nzima Kinahaha Baharini
Akakipeleka Jeshini
Kama ni kifuko lazima kihahe baharini hakiwezi himili upepo..
 
Back
Top Bottom