Simba ni kati ya viumbe wenye IQ kubwa sana, wanajua wazi Faru ni endangered species ndo maana wanawapotezea.Wakuu,
Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu.
Nnachojiuliza,
Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia Kama chakula?
Na ukiangalia faru Ni mdogo kwa umbo ukilinganisha na kina Tembo, twiga na kiboko.
Ni kweli simba wana tabia ya kuangalia na umbo la mnyama anayetaka kumuwinda.Mkuu simba hata wawe 1000 hawawezi kumuwinda tembo mkubwa.
Huyo Faru mwenyewe anakimbizwa na tembo.
Mie nimeshuhudia Morogoro tembo akimkimbiza faru mdimamdima.
Wanaowindwa ni vitoto vidoncho vya tembo tena huchukua nguvu ya simba 5-7 kwa katoto cha tembo.
Simba hana confidence yoyote bali anategemea mob tu, sio kama wakina chui ambao hata jeshi la chui mmoja linawinda, masimba yanawinda yakiwa kundiFaru anawindwa mkuu na Simba, Simba kile kiumbe kina confidence ya ajabu.
Faru ni "YANGA"Wakuu,
Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu.
Nnachojiuliza,
Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia Kama chakula?
Na ukiangalia faru Ni mdogo kwa umbo ukilinganisha na kina Tembo, twiga na kiboko.
Simba hawezi kumuwinda Tembo na twiga. Labda wakiwa wengi ndiyo hubahatisha kumshambulia kwa kumchangia.Wakuu,
Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu.
Nnachojiuliza,
Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia Kama chakula?
Na ukiangalia faru Ni mdogo kwa umbo ukilinganisha na kina Tembo, twiga na kiboko.
Kabisa, tena wanalindwa wasiuawe au kuwindwa..Wapo wachache
Majaribio ya Simba kuwawinda Lone ELEPHANTS Ni mengi (japo mengi hayafanikiwi), changamoto ya tembo wanatembea Kama family, tofauti na faru ambao MDA mwingi Ni solitary grazersUmeshawahi kuona discover wakionyesha simba anamla tembo?
Mtoa mada husidhani Internet haipo kabisa hadi ukaleta ubabaishaji wako
Black rhinos huwa ndio solitary tukija white rhinos ni gregarious ila hizo tabia haziwafanyi wasiwe prey kwa paka mkubwa kama Simba!Majaribio ya Simba kuwawinda Lone ELEPHANTS Ni mengi (japo mengi hayafanikiwi), changamoto ya tembo wanatembea Kama family, tofauti na faru ambao MDA mwingi Ni solitary grazers