Nauliza Kwanini Simba huwinda twiga, tembo na kiboko lakini sio faru?

Simba hana confidence yoyote bali anategemea mob tu, sio kama wakina chui ambao hata jeshi la chui mmoja linawinda, masimba yanawinda yakiwa kundi
Ndio nature ilivyo hatuwezi kuipnga mkuu

Simba lazma waishi hivyo kifamily na Chui hvyohvyo hawawezi kuwnda kikundi
 
Mkuu usitudanganye bwana.
We umeona wapi Simba akamuwinda tembo mkubwa!?
Never,simba wakiwa 5-7 huwinda kitoto cha tembo,kiboko.
Tena wakiwa 5-7.
Ila simba HATA WAWE 1000 HAWAWEZI KUMUWINDA TEMBO MKUBWA ABAADAN WALA KIBOKO MKUBWA ABADAAN.
Tembo kila siku anaokoa nyati wanapovamiwa na simba na utakuta simba wako kama 10 lakini tembo akiingia simba wote wananywea. Ni kama ilivyo kwa mamba na kiboko .
 
Wakuu,
Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu.

Nnachojiuliza,
Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia Kama chakula?

Na ukiangalia faru Ni mdogo kwa umbo ukilinganisha na kina Tembo, twiga na kiboko.

Derby lao huwa si la mchezo ni zaidi ya 7, hivyo kuondoa shari anampotezea na kumpa ubingwa.
 
Simba ni mchele mchele tu kwa tembo, wanawinda vitoto vya tembo tu. Kuwinda tembo wakubwa wakasome. Kuhusu faru nako ni hivyohivyo tu. Simba anapewa ushujaa bure, huwa anawinda wanyama wa saizi ya kati, wale wakubwa hutoa upinzani mkali na huweza kumjeruhi simba
 
SiSidhan kama Ni kweli, sijawai ona video simba akifanikiwa kuwinda na kumla faru
Zipo video ingawa wakati mwingi huwinda faru watoto na hapo wanakuwa simba wengi ili wakati wengine wanamuua mtoto wengine wanamzuia mama yake.
 
Wakuu,
Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu.

Nnachojiuliza,
Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia Kama chakula?

Na ukiangalia faru Ni mdogo kwa umbo ukilinganisha na kina Tembo, twiga na kiboko.

Let's unlearn kwamba simba ndiye mfalme wa nyika. Hii ni ideology ya wazungu. We as Africans do believe mfalme wa nyika ni African Leopard. Chui ni kiumbe hatari zaidi ya simba na ndiye mfalme wa nyika.
Our African leaders mara zote huvishwa ngozi ya chui sio ya simba kuonesha mnyama chui ni brave, smart na anawinda kwa akili ya juu sana. Mzuri chini na juu.

Tiger has been used as a representation of courage, honor or monarchy/kings, in many African cultures.

Tuendelee na mada.
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    75 KB · Views: 4
Tembo haguswi ,simba utoto wako nae labda simba 10.
kiboko hata siku moja hawana mawasiliano nae,Simba ,mamba
Wako ndani ya maji.ukiingia kwenye makazi yao wanakula kitu
 
Wakuu,
Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu.

Nnachojiuliza,
Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia Kama chakula?

Na ukiangalia faru Ni mdogo kwa umbo ukilinganisha na kina Tembo, twiga na kiboko.

Wanaiogopa ile pembe huwa wakikosea kuwadaka pembe inawachana vibaya

Pili faru ana pembe nzito ngumu zio rahisi kudakwa na meno ya simba

Alisikika mlinzi mmoja wa wanyamapori Mikumi akinena
 
C
Let's unlearn kwamba simba ndiye mfalme wa nyika. Hii ni ideology ya wazungu. We as Africans do believe mfalme wa nyika ni African Leopard. Chui ni kiumbe hatari zaidi ya simba na ndiye mfalme wa nyika.
Our African leaders mara zote huvishwa ngozi ya chui sio ya simba kuonesha mnyama chui ni brave, smart na anawinda kwa akili ya juu sana. Mzuri chini na juu.

Tiger has been used as a representation of courage, honor or monarchy/kings, in many African cultures.

Tuendelee na mada.
Chui sio mfalme wa nyika ni simba
Chui akimuona simba anakula kona kama hana akili😂
 
Back
Top Bottom